Hizi ndizo makala na habari ambazo utakutana nazo Alhamisi hii ndani ya TABIBU
- Fahamu namna mpapai unavyoweza kutumika kama tiba
- Imebainika kuwa muarobaini ni kiboko ya magonjwa ya ngozi
- Madereva waelezwa kuongoza kwa maambukizi ya UKIMWI
- Afya za Watanzania zipo mashakani baada ya wachuuzi wa samaki kubuni mbinu mpya ya kutumia dawa za kuulia kupe kuhifadhia samaki ili wasiharibike.
- Saratani ya ngozi inatibika
Na katika michezo pia.....
No comments:
Post a Comment