Hakikisha unapata nakala yako ya gazeti pekee la afya la TABIBU wiki hii linalopatikana mitaani kila siku ya Alhamisi likiwa na habari kemkem za afya.
Miongoni mwa habari zitakazokuwepo ndani ya TABIBU wiki hii ;
- Fahamu namna matatizo ya kibofu cha mkojo yanavyowaathiri wengi na tiba yake pia.
- Utafahamu namna machungwa yanavyoweza kuwa suluhisho la tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi.
- Mbeya: Baba akatwakatwa na mapanga na mwanaye wa kumzaa
- Pia utafahamu namna ukoo ulivyopukutika kutokana na imani za kishirikina
USIKOSE NAKALA YA TABIBU WIKI HII.
No comments:
Post a Comment