Gazeti lako pendwa la TABIBU leo Alhamisi, Desemba, 18 mwaka huu likiwa na habari kemkem.
Pata nakala yako popote ulipo nchi nzima kwa Shilingi 500 tu.
Na kwenye michezo pata undani wa kutimuliwa Kocha wa Yanga na Je, yale maneno ya kocha mstaafu wa Manchester United kuhusu kutambua kiwango cha timu hiyo yametimu kuelekea mwishoni mwa mwaka.
No comments:
Post a Comment