Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda
akikabidhi Kombe kwa kiongozi wa timu ya Amani,ambayo imeibuka kinara katika
mashindano hayo kwa kuichapa timu ya Mshikamano goli moja.Mchezo huo wenye
lengo la kuimarisha na kudumisha amani na mshikamano tulionao umefanyika katika
Uwanja wa Taifa,jijini Dar ukijumuisha viongozi mbalimbali wa dini ya Kikristo
na Kiislamu,ambapo pia viongozi wa ngazi mbalimbali wa dini na serikali
walihudhuria.
|
No comments:
Post a Comment