NAFASI ZA KAZI
Kampuni ya BM PUBLISHERS LIMITED inayochapisha gazeti la TABIBU,
inatangaza nafasi ya kazi ya Mhariri.
SIFA ZA MWOMBAJI
➢Awe na shahada ya uandishi kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
➢Awe na uzoefu wa kazi usiopungua wa miaka mitatu
Mwenye sifa atume barua ya maombi, wasifu wa mwombaji (CV) na nakala ya
vyeti vya kitaaluma. Mwisho wa kupokea maombi ni March 10, 2017.
Tuma kwa:
Meneja muajiri
Gazeti la Tabibu,
SLP 63214,
DAR ES SALAAM.
Email: tabibu@ymail.com
No comments:
Post a Comment