Tabibu Tv

Tabibu Tv

EBOLA BBC NEWS

Wednesday, February 22, 2017

NAFASI ZA KAZI

Kampuni ya BM PUBLISHERS LIMITED inayochapisha gazeti la TABIBU, inatangaza nafasi ya kazi ya Mhariri.

SIFA ZA MWOMBAJI

➢Awe na shahada ya uandishi kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
➢Awe na uzoefu wa kazi usiopungua wa miaka mitatu
Mwenye sifa atume barua ya maombi, wasifu wa mwombaji (CV) na nakala ya vyeti vya kitaaluma. Mwisho wa kupokea maombi ni March 10, 2017.

Tuma kwa:
Meneja muajiri
Gazeti la Tabibu,
SLP 63214,
DAR ES SALAAM.

Email: tabibu@ymail.com

Usikose kusoma nakala ya gazeti lako bora la afya kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu. Fahamu undani wa juisi ya stafeli katika kutibu magonjwa sugu.
Kwa habari za Burudani & Michezo soma gazeti la Tabibu.!!


Wednesday, February 15, 2017


Usiache kusoma TABIBU gazeti lako pendwa la afya pekee Tanzania kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu. Fahamu undani wa mmea tiba huu kiboko katika kutibu magonjwa sugu.
                               Kwa habari za Burudani & Michezo soma gazeti la TABIBU..!!

Wednesday, February 8, 2017


Usiache kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa sh. 500/= tu. Fahamu undani wa majani ya Mparachichi katika tiba ya magonjwa sugu mbalimbali.
                                        Kwa habari za Michezo & Burudani soma Tabibu..!!

Wednesday, February 1, 2017

Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh 500/= tu. Fahamu undani wa kinywaji hiki cha ajabu kinachotibu magonjwa sugu kama saratani na presha.

                                                Kwa habari za Michezo soma TABIBU.!!