Hii ni Kiboko ya U.T.I
Na Kennedy Chaya dar
UNAPOZUNGUMZIA U.T.I si jambo masikioni mwa watu
wengi,lakini ukweli ni kwamba neno hilo ni kifupi cha neno Urinary Tract Infection ikiwa na maana ya maambukizi katika njia ya mkojo,ambayo husababisha
bacteria aitwaye Coli.