Tabibu Tv

Tabibu Tv

EBOLA BBC NEWS

Wednesday, May 27, 2015


Yajue maajabu ya viazi vyekundu, Usikose nakala yako kesho kufahamu kwa undani zaidi. Ni kwa bei ya sh.500/= tu.


Wednesday, May 20, 2015


Usikose kusoma gazeti lako pedwa la afya kesho alhamisi likiwa limesheheni habari kemkemu kuhusu afya.



Thursday, May 14, 2015



Je unajua faida ya papai? Usikose nakala yako ya gazeti la Tabibu kujua kiundani papai linatibu vipi pumu, ini na kisukari ni kwa bei ya sh.500/= tu liko mtaani wiki hii.


Katika michezo TFF, CRDB kunanini kuhusu tiketi za eletroniki? usikose nakala yako wiki hi.

Thursday, May 7, 2015


Usikose nakala ya gazeti la Tabibu kwa sh. 500/= liko mtaani kwako fahamu ni magonjwa gani sugu yanayotibiwa kwa mbegu za tikiti maji.



Katika michezo pata kufahamu historia ya simon msuva na mengine mengi.