Tabibu Tv

Tabibu Tv

EBOLA BBC NEWS

Wednesday, November 26, 2014

Gazeti lako la pekee kesho Novemba 27/10/2014, Alhamis limesheheni habari kemkem, miongoni mwa Habari tulizokuandalia ni pamoja na 
Ukimwi wachukua sura mpya, Mafua ya ndege yawa tishio, Unene uliopitiliza wagharimu na kwenye makalautapata kufahamu kuhusu Dawa za kurefusha maisha na Maajabu kuhusiana na Afya ya Akili na mengine mengi hili si la kukosa kwa gharama ya 500/= Tu.


 Na kwenye Michezo na Burudani limesheheni Habari moto moto,

Tuesday, November 25, 2014

Wednesday, November 5, 2014

GAZETI LAKO LA TABIBU KESHO ALHAMIS 6/11/2014 LIPO MTAANI 
Utaweza kufahamu Tiba ya Kisukari, Uvimbe kwenye kizazi kwa mwanamke, Vidonda vya tumbo na kupata Habari kutoka katika kila pembe ya Dunia na kusoma Makala, Hadithi za kusisimua pamoja na Katuni za kukuvunja mbavu.
YOTE HAYO KWA SH. 500 TU.
AMA KWA HAKIKA TABIBU NI DAKTARI WAKO WA NYUMBANI!


NA KWENYE MICHEZO 
Utamfahamu Mshindani wa Mbuyu Twite. Wajerumani sita wanao wania tunzo ya mchezaji bora na kujua kwa nini Kombe la Mataifa Afrika bado ni kitendawili.