Tabibu Tv

Tabibu Tv

TABIBU ADVERT

TABIBU ADVERT

GO WOMAN

GO WOMAN

GO MAN ADVERT

GO MAN ADVERT

tabibu new advert

tabibu new advert

EBOLA BBC NEWS

Wednesday, March 29, 2017



Usikose nakala ya gazeti lako pendwa la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500 tu. Fahamu undani wa tiba ya magonjwa sugu kwa kutumia mimea.
 TABIBU MICHEZO WIKI HII..!!

Wednesday, March 22, 2017


Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu. Fahamu undani wa juisi ya TENDE katika kutibu magonjwa sugu.
                                            Kwa makala za Michezo soma gazeti la TABIBU..!!

Wednesday, March 15, 2017


Je Unafahamu mchanganyiko wa Asali na Ndizi unatumika vipi kutibu magonjwa Sugu? Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.
                             Usiache kusoma Makala za Michezo kwenye gazeti la TABIBU..!!

Wednesday, March 8, 2017

Usikose kusoma nakala ya gazeti lako la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu. Fahamu undani wa mseto wa juisi ya Ukwaju na Asali katika kutibu magonjwa sugu.

                              Kwa habari za Burudani & Michezo soma gazeti la TABIBU..!!

Wednesday, March 1, 2017


Gazeti la TABIBU kesho Alhamisi lipo mkononi mwako likiwa limesheheni habari kemkem za afya kuhusu Tiba, Kinga na Lishe. Fahamu maajabu ya tunda hili katika tiba, ni kwa bei ya sh 500/= tu.
                             Soma Habari za Burudani & Michezo kwenye gazeti la Tabibu.!!

Wednesday, February 22, 2017

NAFASI ZA KAZI

Kampuni ya BM PUBLISHERS LIMITED inayochapisha gazeti la TABIBU, inatangaza nafasi ya kazi ya Mhariri.

SIFA ZA MWOMBAJI

➢Awe na shahada ya uandishi kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
➢Awe na uzoefu wa kazi usiopungua wa miaka mitatu
Mwenye sifa atume barua ya maombi, wasifu wa mwombaji (CV) na nakala ya vyeti vya kitaaluma. Mwisho wa kupokea maombi ni March 10, 2017.

Tuma kwa:
Meneja muajiri
Gazeti la Tabibu,
SLP 63214,
DAR ES SALAAM.

Email: tabibu@ymail.com

Usikose kusoma nakala ya gazeti lako bora la afya kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu. Fahamu undani wa juisi ya stafeli katika kutibu magonjwa sugu.
Kwa habari za Burudani & Michezo soma gazeti la Tabibu.!!