Usikose kusoma gazeti lako pendwa la afya TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu. Fahamu undani wa magonjwa sugu na tiba zake kama nguvu za kiume, kisukari na presha.
Tabibu Tv
TABIBU ADVERT
GO WOMAN
GO MAN ADVERT
tabibu new advert
EBOLA BBC NEWS
Wednesday, July 20, 2016
Wednesday, July 13, 2016
Wednesday, July 6, 2016
Tuesday, June 28, 2016
Friday, June 24, 2016
Upungufu wa nguvu za kiume na tiba yake
Na Jovin Mwingira
MAKALA hii ya undani wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ilianza wiki iliyopita ambapo tuliweza tulifahamu mambo kadhaa kama vile jinsi mifumo ya mwili inavyoweza kufanikisha kusimama kwa uume na sababu zinazopelekea ukosefu wa nguvu za kiume.
Miongoni mwa sababu tulizozizungumzia wiki iliyopita ni pamoja na magonjwa ya mishipa ya damu, mlundikano wa mafuta katika mishipa ya damu pamoja na shinikizo la damu, ambapo tuliishia tukiangalia jinsi shinikizo la damu linavyoweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Tulisema shinikizo la damu la juu, huathiri mishipa ya damu ya ateri na kuifana misuli ya uume kushindwa kutanuka ili uume usimame. Pia tukasema wanaume wenye ugonjwa huo huwa na kiwango kidogo cha homoni ya testosterone ambayo huchochea misisimko.
Subscribe to:
Posts (Atom)