Tabibu Tv

Tabibu Tv

EBOLA BBC NEWS

Thursday, February 26, 2015




TABIBU LEO ALHAMISI 26. FEBUARI. 2014 LIPO MTAANI LIKIWA NA HABARI MOTOTO, MAKALA, HADITHI ZA KUSISIMUA.
YOTE HAYO NI KWA SH. 500/= TU.
PATA NAKALA YAKO POPOTE ULIPO TANZANIA
FAHAMU YALIYOJIRI KATIKA MICHEZO KUTOKA KILA PEMBE YA DUNIA



Monday, February 16, 2015




TABIBU, ALHAMISI,11/2/2014, LIKIWA LIMESHEHENI HABARI KEMKEM KWA SHS 500/= TU.
NA KATIKA MICHEZO AVORY COAST BINGWA AFCON MSIMU   HUU

Thursday, February 5, 2015


Leo Alhamisi 5/02/2014 TABIBU lipo mtaani kwa 500/= TU, likiwa na habari lukuki za Afya, Michezo na burudani bila kusahau Makala kutoka kwa waandishi mahiri na wataalam wa Afya waliobobea.

Michezo ni Afya.

Wednesday, January 28, 2015

Hii ni Kiboko ya U.T.I

Na  Kennedy Chaya dar
UNAPOZUNGUMZIA U.T.I si jambo masikioni mwa watu wengi,lakini ukweli ni kwamba neno hilo ni kifupi cha neno Urinary Tract Infection ikiwa na maana ya maambukizi  katika njia ya mkojo,ambayo husababisha bacteria aitwaye Coli.

Thursday, January 22, 2015

Gazeti lako pekee la afya leo liko mtaani likiwa na habari lukuki, usikose kupata nakala yako popote ulipo kwa sh. 500?=
Michezo ni Afya.

Thursday, January 15, 2015

Gazeti lako pendwa leo Alhamisi 15, 2014, lipo mtaani likiwa na Habari kem kem, Usikose kupata nakala yako kwa Sh. 500/=.
Popote ulipo tupo.
Na katika Michezo tupo.


Friday, December 19, 2014

Jinsi ya kupika wali wa nazi
KARIBU mpenzi msomaji wa gazeti la TABIBU. Katika safu hii ya mapishi, leo nitawaelekeza jinsi ya kupika wali wa nazi.

Wali ni chakula kinachopendwa sana na watu wa pwani hususani wali wa nazi. Hiki ni chakula kinachopendwa sana na wakubwa na watoto.