Gazeti la TABIBU kesho Alhamisi lipo mkononi mwako likiwa limesheheni habari kemkem za afya kuhusu Tiba, Kinga na Lishe. Fahamu maajabu ya tunda hili katika tiba, ni kwa bei ya sh 500/= tu.
Soma Habari za Burudani & Michezo kwenye gazeti la Tabibu.!!Tabibu Tv
TABIBU ADVERT
GO WOMAN
GO MAN ADVERT
tabibu new advert
EBOLA BBC NEWS
Wednesday, March 1, 2017
Wednesday, February 22, 2017
NAFASI ZA KAZI
Kampuni ya BM PUBLISHERS LIMITED inayochapisha gazeti la TABIBU,
inatangaza nafasi ya kazi ya Mhariri.
SIFA ZA MWOMBAJI
➢Awe na shahada ya uandishi kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
➢Awe na uzoefu wa kazi usiopungua wa miaka mitatu
Mwenye sifa atume barua ya maombi, wasifu wa mwombaji (CV) na nakala ya
vyeti vya kitaaluma. Mwisho wa kupokea maombi ni March 10, 2017.
Tuma kwa:
Meneja muajiri
Gazeti la Tabibu,
SLP 63214,
DAR ES SALAAM.
Email: tabibu@ymail.com
Wednesday, February 15, 2017
Wednesday, February 8, 2017
Wednesday, February 1, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)